Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samia mgombea pekee Uenyekiti CCM

Samiaa Pic Ccm Samia mgombea pekee Uenyekiti CCM

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mku siku ya kesho December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura.

Na kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Halmashauri Kuu imempitisha Kinana kuwa Mgombea kwa kiti cha Makamu Mwenyekiti Bara na Dkt. Hussein Mwinyi kwa upande wa Zanzibar

Taarifa hiyo ya Chama imetolewa na Katibu wa Siasa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Shaka Hamdu Shaka leo December 06,2022 wakati akitoa taarifa ya kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM December 07 na 08 jijini Dodoma

Chanzo: www.tanzaniaweb.live