Rais Samia amesema Serikali imeendelea kuheshimu uhuru wa kujieleza kwenye siasa huku ikitoa uhuru kwa vyama vyote nchini kufanya mikutano ya hadhara, maandamano na harakati zote kwa watu wote.
".... Vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuandamana tunawaambia ingieni barabarani tutawalinda.
.... Wanakwenda weeh! mpaka wakichoka wanakokwenda, wanafika wanafanya yao... haya tawanyikeni, wanatawanyika"
Mtu anatamani kusema, tunamwambia kiwanja hiki hapa, jukwaa hili hapa, akimaliza! haya baba shuka nenda zako,anashuka anaenda zake" Amesema Rais Samia.
".... Vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao kwa uhuru kabisa, wanaotaka kuandamana tunawaambia ingieni barabarani tutawalinda.
— Jambo TV (@Jambotv_) February 29, 2024
.... Wanakwenda weeh! mpaka wakichoka wanakokwenda, wanafika wanafanya yao... haya tawanyikeni, wanatawanyika"
Mtu anatamani kusema,… pic.twitter.com/Z2XOJDqXBT