Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakata la Vyeti feki bado kaa la moto Bungeni (+video)

Video Archive
Wed, 23 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya kumalizika sakata la vyeti feki bado kumekuwa kukiibuka maswali mbalimbali kuhusu sakata hilo na ni kama suala hilo limeanza jana.



Serikali nayo kupitia imesema kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Joseph Kakunda, leo Mei 23, 2018 wakati akijibu swali la Mbunge Suleiman Omary.

“Ni kweli kwamba baada ya zoezi hili kulitokea manung’uniko na vilevile kulitokea rufaa mbalimbali za watumishi mbalimbali walioona kama wameonewa na serikali ilifanya uchambuzi wa kina wale ambao ilionekana kulikuwa na makosa wamesharejeshwa kazini,” amesema Kakunda.

Loading...
Chanzo: bongo5.com