Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ridhiwani Kikwete aanza na miradi ya maji "nitatoa full support watu wapate maji" (+video)

Video Archive
Sat, 28 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na Meneja wa DAWASA  Chalinze Onest Makoi na kutembelea miradi ya maji inayoendelea jimboni humo, ametembelea miradi ya Chaliwaza na Ruvu Juu.

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na Meneja wa DAWASA  Chalinze Onest Makoi na kutembelea miradi ya maji inayoendelea jimboni humo, ametembelea miradi ya Chaliwaza na Ruvu Juu. Ridhiwani amesema yupo tayari kushirikiana na DAWASA katika miradi inayoendelea na kutoa sapoti ili wananchi wanufaike na miradi inayoletwa na Serikali “Nitatoa full support kuhakikisha miradi yote miwili inakamilika ule wa Chaliwaza na mradi unaotokea Ruvu juu kuhakikisha wananchi wetu wanapata maji” .

Chanzo: millardayo.com