Fri, 10 Sep 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rais Samia, anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi leo Septemba 10, 2021 jijini Dodoma.
Katika Kikao hicho, suala la Wabunge Josephat Gwajima, Jerry Silaa na Humphery Poleple yanatarajiwa kuzungumzwa kufuatai maoni yaliyotolewa na Wabunge wakati wa uwasilishwaji wa ripoti ya Kamati Kuu ya Maadili ya Bunge.
Kikao hicho kinatarajiwa kuhudhuriwa na wajumbe wa Kamati kuu, pamoja na Baraza kuu la Chama hicho
Chanzo: www.tanzaniaweb.live