Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ateua tena...

SAMIASIMU Rais Samia ateua tena...

Fri, 19 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa.

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa. Kabla ya uteuzi Kalasa alikua Afisa Mwandamizi ofisi ya Rais -Ikulu na anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Leonard Robert Masanja ambaye amestaafu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live