Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ashiriki kikao cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu CCM (+picha)

157ce7bb D4b4 4558 B306 3ad7b0d10adf 660x400.jpeg Rais Samia ashiriki kikao cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu CCM (+picha)

Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma.

Chanzo: millardayo.com