Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia apokea hati za utambulisho mabalozi wa nchi mbalimbali

Ikulu Mawasiliano 286315056 1018819072092752 4411940229566202426 N Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Oman nchini.

Tue, 7 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Juni 7, 2022, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wa nchi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Rais Samia amepokea hati hizo na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Cuba hapa nchini Yordenis Despaigne Vera, Balozi wa Ethiopia Shibru Kedida, Balozi wa Shirikisho la Urusi Andrey Levonovish Avetsyan na Balozi Mteule wa Oman, Saud Hilal Al Shidhani.

Chanzo: Tanzania