Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amtaka IGP kusimamia maadili - VIDEO

Samia Rais Samia.jpeg Rais Samia amtaka IGP kusimamia maadili - VIDEO

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura kuendelea kukazia maadili huku akimtaka kukaza buti ili jeshi linyooke.

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura kuendelea kukazia maadili huku akimtaka kukaza buti ili jeshi linyooke. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Septemba 4, 2023 katika hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Oysterbay jijini Dar es Salaam.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live