Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ampendekeza DC Kinondoni kuchukua nafasi ya Bashiru (+video)

Video Archive
Fri, 30 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mama Samia Suluhu Hassan, amempendekeza Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Chongolo kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.

Chanzo: millardayo.com