Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia alivyoifungua Tanzania kimataifa mwaka mmoja

SAMIA222 Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Wed, 16 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika kipindi cha mwaka mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan amefungua milango ya Tanzania katika medani za kimataifa, hali iliyosaidia nchi hiyo kupata fedha na kusaini mikataba mingi ya miradi ya maendeleo.

Kupitia ziara zake nje ya nchi na ziara za viongozi wa mataifa mengine nchini, Tanzania imefanikiwa kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita.

Balozi Mulamula alisema katika kipindi hicho cha mwaka mmoja, Rais Samia alifanya ziara za kitaifa, kikazi na kiserikali katika Na Magnus Mahenge, Dodoma SERIKALI ya Awamu ya Sita imewezesha Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kulipa madeni ya Sh bilioni 175 kwa wazabuni waliotoa huduma katika wizara hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live