Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia afungua mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara

Rais Sami Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza

Tue, 7 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo juni 7, 2022, amefungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Wakati huohuo, Rais Samia leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wa nchi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Rais Samia amepokea hati hizo na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Cuba hapa nchini Yordenis Despaigne Vera, Balozi wa Ethiopia Shibru Kedida, Balozi wa Shirikisho la Urusi Andrey Levonovish Avetsyan na Balozi Mteule wa Oman, Saud Hilal Al Shidhani.

Chanzo: Tanzania