Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia achaguliwa kuwa Menyekiti CCM

Screen Shot 2021 04 30 At 1.07.24 PM 660x400.png Rais Samia achaguliwa kuwa Menyekiti CCM

Fri, 30 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wamemchagua Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kura za ndiyo 1862 sawa na asilimia 100 ya kura zote

Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Mwenyekiti wa Uchaguzi ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amesema hakuna kura ya hapana.

”Jumla ya kura zilizopigwa ni 1876, hakuna kura iliyoharibika na hakuna kura hata moja ya hapana, hivyo ameshinda kwa asilimia 100,” Job Ndugai

Chanzo: millardayo.com