Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr Hussein Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Said imesema uteuzi huo unaanza February 21,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr Hussein Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Said imesema uteuzi huo unaanza February 21,2024. Kabla ya uteuzi huo Shariff alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar, ZIPA.