Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU HALMASHAURI KUU CCM

HUV.png?fit=528%2C323 RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU HALMASHAURI KUU CCM

Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan leo March 30,2021 ameshiriki kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi, Rais Mstaafu Dr.Shein, Waziri Mkuu Majaliwa na Wajumbe wengine.







Chanzo: zanzibar24.co.tz