Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RAIS MAGUFULI: AHADI ZANGU SIO ZA UONGO

Capture 112.png?fit=807%2C594 RAIS MAGUFULI: AHADI ZANGU SIO ZA UONGO

Mon, 19 Oct 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mgombea wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli amesema kuwa ahadi zake anazoto wakati wa kampeni sio za uongo bali ni ukweli mtupu.

“Ahadi zangu mimi siyo za uongo, ninawaomba Oktoba 28 mfanye mabadiliko, mimi ni mtumishi wenu ninawapenda watu wote, hata wamachinga ni wangu, wenye shida, akina mama na yatima wote ni wangu nataka tufanya mabadiliko ya kweli.”

“Endapo mtatuchagua tena lengo letu kuu ni kuhakikisha kwamba utalii wa kihistoria na malikale unafanyika hasa Bagamoyo ambao ni mji wenye historia kubwa.” JPM

Chanzo: zanzibar24.co.tz