Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Profesa Jay apoteza Jimbo la Mikumi, CCM washinda

Download 5.jpeg Profesa Jay apoteza Jimbo la Mikumi, CCM washinda

Thu, 29 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Denis Lazaro wa CCM ameshinda kiti cha ubunge akipata kura 31,411 (62.7%) dhidi ya Joseph Haule wa CHADEMA. Pia kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, CCM imeshinda udiwani katika kata zote 40.

Denis Lazaro wa CCM ameshinda kiti cha ubunge akipata kura 31,411 (62.7%) dhidi ya Joseph Haule wa CHADEMA. Pia kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, CCM imeshinda udiwani katika kata zote 40. LIVE: SUGU ASHINDWA UBUNGE MBEYA MJINI, TULIA AIBUKA KIDEDEA

Chanzo: millardayo.com