Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wazuia maandamano ya ACT

ACT.jpeg Polisi wazuia maandamano ya ACT

Tue, 18 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maandamano ya Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam yamezuiwa na Jeshi la Polisi.

Maandamano ya Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam yamezuiwa na Jeshi la Polisi. Vijana hao walikuwa wakiandamana kufikisha ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Hassan awachukulie hatua wote waliotajwa kwa upotevu wa fedha katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live