Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha 6:Mbunge Askofu Gwajima afika bungeni, aitikia wito kamati maadili

44555666 660x400 Picha 6:Mbunge Askofu Gwajima afika bungeni, aitikia wito kamati maadili

Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ambae Agosti 23, 2021 tayari amefika Bungeni mkoani Dodoma  kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Camera za Ayo TV & millardayo.com zimemnasa Mbunge huyo Gwajima wakati akiingia Bungeni.







Chanzo: millardayo.com