"Kweli (CHADEMA) tuko kwa ajili ya kutafuta mabadiliko ya Wananchi?, kweli tuko kwa ajili ya kubadilisha maisha ya Watanzania?, baada ya kujiuliza maswali hayo, nikimuangalia Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan tangu siku anapishwa, ukifuatilia nilikuwa na interview na BBC niliwapa hisia zangu za kweli kwa maneno aliyotamka, Mama alitamka na aliahidi kuleta Nchi pamoja, Mheshimiwa Rais alitamka kuwaunganisha Watanzania, Mheshimiwa Rais alitamka kufanya reforms, kwa lugha nyingine na rahisi ya kutamka ni kwamba Mwanamageuzi kwa sasa wa kweli ni Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na ninasema hivyo kwa sababu ameongea na ametenda" -Peneza
"Kweli (CHADEMA) tuko kwa ajili ya kutafuta mabadiliko ya Wananchi?, kweli tuko kwa ajili ya kubadilisha maisha ya Watanzania?, baada ya kujiuliza maswali hayo, nikimuangalia Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan tangu siku anapishwa, ukifuatilia nilikuwa na interview na BBC niliwapa hisia zangu za kweli kwa maneno aliyotamka, Mama alitamka na aliahidi kuleta Nchi pamoja, Mheshimiwa Rais alitamka kuwaunganisha Watanzania, Mheshimiwa Rais alitamka kufanya reforms, kwa lugha nyingine na rahisi ya kutamka ni kwamba Mwanamageuzi kwa sasa wa kweli ni Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na ninasema hivyo kwa sababu ameongea na ametenda" -Peneza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) na aliyekuwa Mhazina wa CHADEMA Kanda ya Serengeti Upendo Peneza amezungumza hayo wakati alipotangaza kuhamia CCM Januari 22.2024