Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PINGAMIZI LA CHADEMA: ‘Yeye amesema anajishughulisha na mbogamboga’ Salum Mwalim

1758 Mwalim 660x400

Tue, 23 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 22, 2018 Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kinondoni, Salum Mwalim amewasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia.

AyoTV imezungumza na Salum Mwalim ambapo ametaja hoja za mapingamizi hayo kuwa Mtulia amedanganya kwenye fomu yake kuwa anajishughulisha na kilimo cha mbogamboga. Hoja nyingine ni Mtulia kutopeleka mrejesho wa gharama za uchaguzi wa mwaka 2015, alipogombea kwa tiketi ya CUF.



MAULID MTULIA ‘CCM’ AJIBU KUHUSU MAPINGAMIZI ALIYOWEKEWA NA CHADEMA



 

Chanzo: millardayo.com