Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Spika Tulia akutana na Spika wa Italia

Spika 1 PICHA: Spika Tulia akutana na Spika wa Italia

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Bunge la Italia, Mhe. Lorenzo Fontana alipomtembelea leo tarehe 27 Julai, 2023 ofisini kwake Jijini Roma nchini Italia.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi ya ngao yenye nembo ya Bunge la Tanzania Spika wa Bunge la Italia, Mhe. Lorenzo Fontana alipomtembelea leo tarehe 27 Julai, 2023 ofisini kwake Jijini Roma nchini Italia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live