Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Na hiki ndicho chuo cha Uongozi CCM

CHUO 124 Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere

Wed, 23 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia amezindua chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani.

Uzinduzi huo umefanyika leo Februari 23, 02, 2022 Mkoani hapo na inaelezwa kuwa chuo hicho kinamilikiwa na CCM chini ya ushirikiano wa vyama sita rafiki vilivyopigania ukombozi katika nchi za Kusini mwa Afrika.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live