Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Chongolo alivyotembelea Chuo Kikuu cha RENMIN China

CHONGOLO CHINA 1 PICHA: Chongolo alivyotembelea Chuo Kikuu cha RENMIN China

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo pamoja na ujumbe wake ametembelea Chuo Kikuu cha RENMIN na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo hicho Cde Zhang Donggang leo Aprili 20, 2023 mjini Beijing China.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live