Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 15:Viongozi na Wasanii kwenye mkutano wa CCM wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho

665 2 660x400 PICHA 15:Viongozi na Wasanii kwenye mkutano wa CCM wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho

Fri, 30 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni April 30, 2021 ambapo Chama cha Mapinduzi CCM kimelifanya mkutano wa kumchagua mwenyekiti wa chama chao ambapo  Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana.

Haha nimekuwekea picha 15 ujionee shughuli mbalimbali  huku waliohudhuria mkutano huo wakiwemo wasanii na  viongozi huko mkoani Dodoma.

.



.Pichani Msanii wa Bongo Flevani, Lulu Diva



.Pichani ni Mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano wa CCM unaoendelea mkoani Dodoma ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana

.Pichani (Kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana



.



.



.



.Wasanii mbalimbali ni miongoni  waliohudhuria mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana



.



.

.



.



.



.Irene Uwoya ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa asilimia 100, Kura zilizopigwa ni 1862 na kura zote ni za ndio hakuna kura ya hapana



.

LIVE: RAIS SAMIA ANAPIGIWA KURA KUWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA – DODOMA
Chanzo: millardayo.com