Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orodha kamili ya Wabunge waliopita bila kupingwa

Bunge La Tanzania Orodha kamili ya Wabunge waliopita bila kupingwa

Sat, 29 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataja wabunge waliopita bila kupingwa, Majina hayo ya wabunge yamesomwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles jijini Dodoma.

Haya ndiyo majina na Majimbo ya Wabunge waliopita bila kupingwa na majimbo yao.

1. Ushetu – Elias Kwandikwa 2. Kongwa – Job Ndugai 3. Gairo – Ahmed Shabiby 4. Kilosa – Palamagamba Kabudi 5. Mvomero – Jonas Van Zeeland 6. Morogoro Kusini – Kalogereris Innocent 7. Morogoro Mashariki – Taletale Hamis Shabani 8. Mlele –                  Eng. Isaack Kamwelwe 9. Kavuu –                Geofrey Pinda 10. Songwe –            Philipo Mulugo 11. Bukene –              Zedi Jumanne 12. Nzega Vijijini – Hamis Kigwangalla 13. Ruangwa –       Kassim Majaliwa 14. Mtama –         Nape Nnauye 15. Namtumbo – Vita Kawawa 16. Butiama –    Sagini Abdallah 17. Misungwi – Alexander Mnyeti 18. Bumbuli –   January Makamba

MKE WA TUNDU LISSU AZUNGUMZA MBELE YA WAFUASI WA CHADEMA MBAGALA

Chanzo: millardayo.com