Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ole Sendeka: Mwinyi alikuwa mwanamageuzi

Ole Sendeka Amshukuru Rais Samia Miradi Ya Maendeleo Ole Sendeka: Mwinyi alikuwa mwanamageuzi

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema hayati Ali Hassan Mwinyi, alikuwa ni mwanamageuzi katika nyanja za uchumi, siasa na kijamii, kwani aliweza kuikabili hali ya kiuchumi wakati akiingia madarakani., Pia aliruhusu vyama vingi na kuendelea kuunganisha Zanzibar na Tanzania Bara katika wakati wake

Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema hayati Ali Hassan Mwinyi, alikuwa ni mwanamageuzi katika nyanja za uchumi, siasa na kijamii, kwani aliweza kuikabili hali ya kiuchumi wakati akiingia madarakani., Pia aliruhusu vyama vingi na kuendelea kuunganisha Zanzibar na Tanzania Bara katika wakati wake Ole Sendela amesema hayo kwenye hafla ya kuaga mwili wa Rais Mwinyi katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar ambapo viongozi mbalimbali na wananchi wanashiriki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live