Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Njombe Mjini mshindi ni Deodatus Mwanyika

Screenshot 2020 10 29 At 08.02.18 660x400.png Njombe Mjini mshindi ni Deodatus Mwanyika

Thu, 29 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi wa ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 akifuatiwa na mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940.

Chanzo: millardayo.com