Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Nilichoambiwa ukimuona Magufuli wewe toka nje” – Dr. Mollel (+video)

1686 Screen Shot 2018 01 21 At 11.20.16 PM 660x400.png

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Alikua Mbunge wa Siha Kilimanjaro kwa Ticket ya CHADEMA lakini akatangaza kuhama mwishoni mwa mwaka 2017 na sasa anagombania kurudia kwenye kiti hicho kwenye Jimbo hilohilo lakini kwa ticket ya CCM.

January 21 2017 Waziri wa mambo ya ndani ambae pia ni Mbunge wa Iramba Dr. Mwigulu Nchemba amezindua kampeni za Uchaguzi wa marudio kwenye jimbo la Siha na kumnadi Dr. Godwin Mollel ambae anagombea kurudi kwenye kiti hicho.

Tazama Dr. Mollel akiongea kwenye uzinduzi huo kwa kubonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: “Hata kama wewe ni upinzani, chagua CCM sasa hivi sababu………….. ?????”MWIGULU

Chanzo: millardayo.com