Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nichagueni tena" Rais Magufuli katika kampeni Bahi Dodoma

PicJPM.png "Nichagueni tena" Rais Magufuli katika kampeni Bahi Dodoma

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

“Sikutegemea kama ningekuta watu wengi hapa Bahi, leo nina mikutano mingi sana, ningependa sana nikae hapa kwa masaa mengi lakini nimeona maendeleo mliyonayo, miaka mitano iliyopita nilipita nikawaomba kura kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kweli” moja ya nukuu kutoka kwa Rais Magufuli ambaye ni Mgombea Urais kwa CCM, tazama LIVE muda huu.

Chanzo: millardayo.com