Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Ni mstaarabu kanijibu ndani ya wiki moja"Mbowe kuhusu barua ya Rais (+video)

Video Archive
Sat, 12 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amemuaomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kukutana na Viongozi wa Vyama vya Siasa ili kutoa fursa ya kujadili mambo mengi ikiwemo maendeleo ya nchi .

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amemuaomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kukutana na Viongozi wa Vyama vya Siasa ili kutoa fursa ya kujadili mambo mengi ikiwemo maendeleo ya nchi . Mbowe ameyasema hayo wakati akizungunza na wanachama wa Chama hicho Mjini Morogoro ambapo amesema tangu Rais Samia ahidi kukutana na Viongozi wa Vyama hivyo ni miezi mitatu sasa imepita bado hajatimiza suala hilo hivyo ni muda muafaka wa kufanya jambo kwa maslahi mapana ya Taifa huku akisisitiza kuwa Chama hicho hakina haja ya kulipiza visasi kwa mtu yeyote.

Chanzo: millardayo.com