Mon, 26 Mar 2018
Chanzo: bongo5.com
Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT- Wazalendo kupitia Mratibu wa Itikadi na Mawasiliano na Uenezi ngome ya vijana Taifa, Karama Kaila wamemtumbua kiongozi wao cha ngome ya vijana ambaye pia ni mratibu. Tazama video hii wakieleza;