Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nape ampongeza Makonda, amtakia kila lakheri

Nape Nauye Nape ampongeza Makonda, amtakia kila lakheri

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) amempongeza Paul Makonda aliyeteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) amempongeza Paul Makonda aliyeteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi. Nape ambaye amewahi kushika wadhifa huo licha ya kumpongeza pia amemtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake mapya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live