Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NCCR Mageuzi wachukua fomu ya kugombea Urais (+picha&video)

WhatsApp Image 2020 08 11 At 06.13.32 660x400.jpeg NCCR Mageuzi wachukua fomu ya kugombea Urais (+picha&video)

Tue, 11 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage amekabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020. Chama hicho kinakuwa cha kumi na tano (15) kuchukua fomu.

Chanzo: millardayo.com