Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee wa miaka 101 ajitoa kuipambania CHADEMA, Mbowe ampa kitita (+Video)

Mzee Miaka 101.jpeg Mzee wa miaka 101 ajitoa kuipambania CHADEMA

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: Mwananchi

Mzee wa miaka 101 ajitosa kuipambania Chadema, Mbowe amchangia Sh2 milioni

Mzee Telesfori Ludovic, mwenye miaka 101 amesema atapambana hadi Chadema ishinde.

Mzee huyo aliyezaliwa Oktoba 1922, amesema hayo leo Jumamosi, Julai 20, 2023, katika mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, uliofanyikia Kata ya Mtukula, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera.

Mbowe na timu yake wako katika Operesheni +255 Katiba mpya, Okoa bandari zetu waliyoizindua jana Ijumaa, Bukoba mkoani humo.

Tazama Video hapa chini kisa toa neno moja kwa Mzee huyu

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: Mwananchi