Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigulu: Nasisitiza Rais Samia apewe maua yake

Mwigulu Nchemba Dirisha Mwigulu: Nasisitiza Rais Samia apewe maua yake

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa kazi ambayo anaifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ni vyema akapewa maua yake

Dkt. Mwigulu ameyasema hayo Leo June 26,2023 Bungeni Ambapo amesema kuwa kwa fedha ambazo amezitoa Mhe. Dkt. Samia kwa ajili ya miundombinu mbalimbali na miradi ya kimkakati haijawahi kutokea Toka Taifa hili lipate Huru

Aidha Dkt. Mwigulu amesema kuwa hapa inafaa watanzania waelewe kuwa haya ni maendeleo ambayo hayajawahi kufikiwa na wanaposema Kuna wizi katika fedha za Serikali Hilo suala sio la kweli

Chanzo: www.tanzaniaweb.live