Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwenyekiti UVCCM Arusha amepanga kuwashtaki Wabunge wa Arusha

2970 SAITOT 660x400

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 10, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi  mkoa wa Arusha Saitot Zeloth amesema atawashtaki Wabunge wote wa Mkoa wa Arusha kwa wananchi ambao hawajatekeleza majukumu yao ipasavyo.

Akizungumza na AyoTV  baada ya kuapishwa kwa Katibu hamasa wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa Omary Lumato amesema hawatakubali kutumika na viongozi wa ngazi za juu ambao wanawasumbua.



ALICHOZUNGUMZA KIBATALA BAADA YA KUACHIWA, AMETAJA KILICHOKUWA KINAKWAMISHA DHAMANA



 

Chanzo: millardayo.com