Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtutura aipatia nyumba ACT Wazalendo

WhatsApp Image 2021 05 24 At 16.48.51.jpeg Mtutura aipatia nyumba ACT Wazalendo

Tue, 25 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Akikabidhi nyumba hiyo amesema  kuwa nyumba hiyo, ikishafanyiwa  maboresho, itakuwa Ofisi ya Mkoa wa Kichama wa Selou, wenye majimbo ya Namtumbo, Tunduru Kaskazini na Tunduru Kusini.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amempongeza Mtutura kwa moyo wa kujitolea uliouonyesha

Mtutura aliyewahi kuwa Mbunge wa Tunduru Kusini kupitia CCM, kabla ya kuhamia ACT Wazalendo mwaka jana.

 Ado amesema tokea Mtutura ajiunge na chama hicho akitokea CCM, amekuwa akichukua hatua mbali mbali za kukiimarisha chama katika mkoa wa Kichama Selous.

Mbali na Katibu Mkuu na Katibu wa Mkoa wa Selou, wengine walioshiriki katika mapokezi hayo ya nyumba itakayotumika kama moja ya ofisi za chama mkoani humo ni Katibu wa jimbo la Tunduru kaskazini Mchungaji Francis Kavele  na Katibu wa Ngome ya Wanawake  Gania Shamte.

Chanzo: ippmedia.com