Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtulia na Familia yake jukwaani “Nampenda Magufuli balaah”

2104 Mtulia1 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Said Maulid Mtulia alikua Mbunge wa Kinondoni Dar es Salaam kwa Ticket ya CUF lakini akatangaza kuhama mwishoni mwa mwaka 2017 na sasa anagombania kurudia kwenye kiti hicho kwenye Jimbo hilohilo lakini kwa ticket ya CCM.

Leo January 27, 2018 alikuwa katika viwanja vya Biafra kwa ajili ya kuzindua kampeni zake katika Jimbo hilo la Kinondoni akiongozwa na Dr.Mwigulu Nchemba ambapo ameeleza sababu mbalimbali za yeye kuhama CUF.

“Hii ya miaka 800 ndo ilinifanya nitoke kule nihamie huku mana kusubiri miaka hiyo siwezi, hivi muziki huu wapinzani wanauweza, maamuzi niliyoyafanya ni ya kiume!! kujiuzulu Ubunge si mchezo, kuna wengi hawatoki kule wanasubiri kiinua mgongo,”-Mtulia

DR. MWIGULU NCHEMBA NA WASIRA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM KINONDONI

Chanzo: millardayo.com