Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Shetta achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa

Chipukiziii 421 Mtoto wa Shetta achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa 9 wa Chipukizi Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Qayllah ameshinda kwa kupata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa huku akiwashinda wenzake watatu aliokuwa akishindana nao.

Chama Cha Mapinduzi kimempongeza Komredi Qaillaha Nurdin Bilal kwa kuchaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM 2023 kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live