Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba abadilisha muonekano wake

293 DRHgRjRXUAAzROv TZW

Sun, 17 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amezua gumzo mitandaoni baada ya kubadilisha staili yake ya kufunga nywele kwa nyuma na kunyoa kipara.

Muonekano mpya wa Drogba.

Drigba kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa alianza kufunga staili ya nywele zake tangu mwaka 2000 mpaka 2017, lakini kwa sasa ameamua kuwa mpya na kuanza staili nyingine ya kunyoa para.

Mpaka sasa hivi picha hiyo aliyoiweka jana imepata likes, comments na Retweets zaidi ya elfu 1 kwenye mtandao wa Twitter.

15/12/2000 was the Beginning,

15/12/2017 Born is the new Me pic.twitter.com/SFB5xac1zn

— Didier Drogba (@didierdrogba) December 15, 2017

Drogba ambaye kwa sasa anakipiga kunako  Ligi kuu Soka Marekani katika klabu ya Phoenix Rising FC amekuwa moja ya wachezaji wakukumbukwa katika klabu ya Chelsea kwa muda wote.

Chanzo: bongo5.com