Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Msameheni yule ni Yuda amechanganyikiwa ” -Elvis Mosi

2495 Elvis 660x400

Fri, 2 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kampeni za Ubunge katika Jimbo la Siha Kilimanjaro zinaendelea ambapo Mgombea wa Ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA Elvis Mosi ameahidi kuwa ataboresha elimu kwani matokeo ya kidato cha nne katika shule ya Karansi hakuna aliyepata daraja la kwanza.

Elvis amesema katika uzinduzi wa kampeni za CCM walioshiriki kwenye mkutano asilimia kubwa hawakuwa wakazi wa Siha. “Wamesomba watu toka Kilimanjaro nzima wanasema ni wapiga kura wa Siha, nawaombeni tarehe 17 msiwe na hasira ndugu zangu, msameheni yule ni Yuda, msiwe na hasira mtaharibu kura”

BREAKING: ‘Sijanunuliwa na CCM, Kwani wakati najiunga na CHADEMA walininunua sh ngapi’

Chanzo: millardayo.com