Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msajili akutana na viongozi wa Chadema kujadili kuimarisha demokrasia

Msajili Moja Msajili akutana na viongozi wa Chadema kujadili kuimarisha demokrasia

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa CHADEMA meshimiwa Freeman Aikael Mbowe (kushoto), akisisitiza jambo mbele ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, wakati wa kikao cha Msajili na viongozi waandamizi wa CHADEMA leo jijini Dar es Salaam.

Kikao cha Msajili na CHADEMA ni juhudi za ofisi hiyo kuimarisha hali ya kisiasa hususan demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live