Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msajili: Vyama vya siasa toeni ushirikiano

Jaji Francis Mutungi Msajili: Vyama vya siasa toeni ushirikiano

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kutoa ushirikiano katika zoezi la usajili linalotegemewa kuanza Julai 20 mwaka huu huku akikiri ofisi yake kupokea maombi ya vyama 18 vinavyotaka usajili.

Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa nchini kutoa ushirikiano katika zoezi la usajili linalotegemewa kuanza Julai 20 mwaka huu huku akikiri ofisi yake kupokea maombi ya vyama 18 vinavyotaka usajili. Jaji Mutungi akizungumza na wawakilishi wa vyama vya siasa kabla ya kuanza kwa zoezi la uhakiki amesema zoezi hilo ambalo mwaka jana lilishindwa kufanyika kutokana na majukumu ya kikosi kazi litafanyika mwaka huu likilenga kukagua hoja muhimu ambazo zilianishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live