Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mrema wa CHADEMA ni mzima puuzeni" Mnyika

Cdm Pioc Data 660x400 "Mrema wa CHADEMA ni mzima puuzeni" Mnyika

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amefariki dunia.

“Sio kweli zipuuzeni hizo taarifa hazina ukweli wowote,” Mnyika.

Katika barua hiyo inayosambaa mitandaoni ambayo Mnyika anasema ni feki ina kichwa cha habari kinachosema utaratibu wa kuhudhuria mazishi ya Mrema na ina nembo ya chama hicho.

EXCLUSIVE: MAAJABU YA MTOTO GENIUS WA HESABU, “SIJAFUNDISHWA, WAKUBWA HAWANIWEZI”

Chanzo: millardayo.com