Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mnyika akanusha kifo cha Mrema

4e6220a4bc0ef2b9d01e3c79f08728b4 Mnyika akanusha kifo cha Mrema

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amefariki dunia.

“Sio kweli zipuuzeni hizo taarifa hazina ukweli wowote,” amesema Mnyika.

Katika barua hiyo inayosambaa mitandaoni ambayo Mnyika anasema ni feki ina kichwa cha habari kinachosema utaratibu wa kuhudhuria mazishi ya Mrema na ina nembo ya chama hicho.

Chanzo: www.habarileo.co.tz