Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mnyika: Msamaha hutolewa kwa mwenye kuomba msamaha

MNYIKA WEB John Mnyika

Thu, 12 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Saa chache baada ya Baraza kuu la CHADEMA kuwafukuza rasmi Halima Mdee na wenzake 18 kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameandika.

“Msamaha hutolewa kwa mwenye kuomba msamaha. Msamaha hutanguliwa na kukiri makosa na kuomba radhi badala ya kiburi cha dhambi, upotovu na upotevu.

“Wakati mwingine hukumu na adhabu ni msingi wa haki, ukweli, nidhamu na maadili. Kukosea ni ubinadamu, kujikosoa ni utu.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live