Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkutano wa Mbatia wazuiliwa na polisi Rungwe

98011 Mbatia+pic Mkutano wa Mbatia wazuiliwa na polisi Rungwe

Fri, 6 Mar 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Rungwe. Mkutano wa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa, James Mbatia umezuiliwa na kutakiwa kuripoti kituo kidogo cha polisi Ruangwa wilayani Ryungwe na kutakiwa kutoendelea na chochote katika mkutano huo. Mbatia ambaye amefika katika jimbo la Busokelo majira ya saa tano asubuhi leo Alhamisi Machi 5, 2020 katika Kijiji cha Kandete alikuwa akisubiriwa na wanachama wa NCCR kwenye mkutano wa ndani. Nje ya ukumbi wa mikutano Mbatia amesema kwa sasa hatozungumza lolote mpaka atakapofika polisi na kujua anaitiwa nini na kuna shida gani. Taarifa zaidi zitakujia

Chanzo: mwananchi.co.tz