Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mh. Mnyika baada ya kumuona Lissu ‘Tabasamu hili ni maumivu kwa waliopanga mauaji’

1157 DSwQdHuU0AA0WIk TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Bara baada ya kwenda kumtembelea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema hakika Mungu ni mkubwa.

Mnyika amesema kuwa tabasamu la Mbunge huyo ni maumivu kwa waliopanga mauaji.

“Hakika Mwenyezi Mungu ni mkubwa. Tabasamu kama hili ni maumivu kwa waliopanga mauaji. Rais @MagufuliJP aruhusu wachunguzi wa kimataifa waje wafichue ukweli,” aliandika Nyika kupitia mtandao wake wa Twitter.

Mnyika aliongozana na wanachama na viongozi mbali mbali wa Chama cha Demokrasia (Chadema)alifika jana Nairobi hospital kumjulia hali Mbunge huyo.

Chanzo: bongo5.com