Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mh. Mbowe atua Mbeya kusikiliza kesi ya Sugu (+Picha)

1851 DUSudcVWkAAKP2p TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman Aikael Mbowe, leo amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.



Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ anakabiliwa na kesi kutoa maneno ya uchochezi.

Chanzo: bongo5.com